Monday, August 1, 2016

HOFU YA MUNGU YATANDA: SHUHUDIA PICHA ZA WATU WALIOKUWA VICHAA, NA WENYE MAGONJWA SUGU YALIYOSHINDIKANA KUPONYEKA WALIVYOPOKEA UPONYAJI WA PAPO KWA HAPO KWA MCH MZOLA WA NYAKASANGWE...!

0 comments
 Pichani Mchungaji wa Kanisa la Hossana Ngome ya Yesu lililopo Wazo Nyakasangwe akiwa picha ya pamoja na watu waliopokea uponyaji baada ya maombi yake huku watu hao wengine walikuwa vifaa kabisa lakini kwa sasa wamerejea kwenye hali yao ya kawaida. Maelfu ya wananchi wenye uhitaji wameendelea kumiminika kwenye kanisa la Mchungaji Mzola kwa ajiri ya kumuona MUNGU wa kweli mbele za mtumishi...
SOMA ZAIDI ...

Tuesday, July 26, 2016

KIMENUKA: UKAWA KWAWAKA MOTO, WAFUASI WA VYAMA HIVYO WAWASHUKIA MEYA WA JIJI/KINONDONI, HALIMA MDEE AHUSISHWA NA TATIZO HILO..!

0 comments
Mstahiki Meya wa manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob "UKAWA" Mheshimiwa  Halima Mdee Mbunge wa Kawe- CHADEMA Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni Ally Hapi Salum Isaya Mwita wa Chadema, Meya wa Jiji la Dar es Salaam "UKAWA"  Na Mwandishi wa Maskanibongotz Mashabiki na wafuasi wa vyama vilivyoungana UKAWA wamekuja juu na kuwataka viongozi wao wanashikiria nyazifa mbalimbali...
SOMA ZAIDI ...

Wednesday, July 20, 2016

KAZI YA KUPAMBANA NA MACHANGU/MASHOGA: RC MAKONDA APIGWA CHANGA LA MACHO, YANAYOFANYIKA KWENYE VITUO VYA MASSAGE DAR AIBU, MACHANGUDOA WAENDELEA KULA VICHWA KAMA KAWA...!

0 comments
Kufuatia kauri na msimamo wa mkuu wa Mkoa wa Dar Mheshimiwa Paul Makonda kutangaza kiama kwa machanguoa na mashoga, sasa wakina dada hao wamebuni nyingine ya kujiingiza kwenye vituo vya massage ambako huko wameendelea kula vichwa kama kawaida, Lakini uvaaji kama huu pichani umekuwa chanzo cha ngono kwa sababu huchochea hisia za kwa wanaume. Unapoiingia sehemu ya Massage unakutana na wakina dada...
SOMA ZAIDI ...

Monday, July 18, 2016

RC MAKONDA AFAFANUA ALICHOMANISHA KUHUSU MSAKO WA NYUMBA KWA NYUMBA KUIBAINI WAKAZI NA MAJUKUMU YAO, WANASIASA WANAOMPINGA WAWACHUKIZA WANANCHI..!

0 comments
Na Livingstone MkoiMkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mheshimiwa Paul Makonda ametolewa ufafanuzi kuhusu upotoshwaji unaofanywa na baadhi ya viongozi wa kisiasa dhiti ya maagizo mbalimbali anayokuwa anayatoa kwa ajiri ya kuijenga Dar Es Salaam mpya.Akiongea na mtandao wa maskanibongotz Mheshimiwa Makonda alisema "Sikusema wasio na kazi wakamatwe. Utawapeleka wapi? Una gereza gani? Nilisema Wenyeviti...
SOMA ZAIDI ...

Tuesday, July 12, 2016

WAGONJWA WA UKIMWI, KANSA WAZIDI KUPOKEA UPONYAJI KANISANI KWA MCHUNGAJI MZOLA MWENYE NGUVU ZA AJABU ZA KIMUNGU, MAELFU YA WATU WAZIDI KUJISALIMISHA ILI KUJIOKOA NA KIFO, WATANZANIA WAONYWA KUHUSU KUBEZA WATUMISHI WA MUNGU..!

0 comments
 Mmoja wa wagonjwa wa Ukimwi aliyechelewa kuanza tiba akiwa ameathirika na vidonga kwenye kinywa chake, ambapo wagonjwa kama hawa wamekuwa wakipokea miujiza kwa mchungaji mzola wa Kanisa la Hosana Ngome ya Yesu Nyakasangwe kwa Mch Mzola.   Bint wa shule mwenye maambukizi ya ukimwi.    Mmoja wa wanandoa mwenye maambukizi ya ukimwi akipata ushauri wa Daktari kwenye moja ya...
SOMA ZAIDI ...

Wednesday, July 6, 2016

BAADA YA KUAPISHWA JANA: MKUU WA WILAYA KINONDONI AAPA JAMBO ZITO , AANDALIWA MAPOKEZI YA KUFA MTU MITAA YOTE KUSIMAMA KWA MUDA...!

0 comments
 Mkuu mpya wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Salum Hapi Ali ameapa kufuata nyayo za Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kwenye kutatua tatizo la migogoro ya ardhi na tayari ana kamati maalum inayojumuisha watu wa mipango miji,maafisa ardhi hivyo kazi hiyo itaanza mara moja, DC huyo aliongea hayo juzi wakati akiapishwa tayari kuanza majukumu yake kwenye Wilaya hiyo yenye wajanja wajanja wengi hasa wenye fedha...
SOMA ZAIDI ...

Monday, July 4, 2016

KASI YA MAKONDA KIBOKO, CHADEMA WAUNGA MKONO MITAA KUPEWA JINA LA MAKONDA KWA HESHIMA NA KAZI NZURI ALIYOIFANYA, UKAWA WAMSHAURI HAYA MEYA KINONDONI...!

0 comments
 Pichani Mkuu wa Mkoa Dar kipindi akiwa DC Kinondoni akiongea na wananchi wa Nyakasangwe na kuwatia kuhusu Mgogoro huo wa Ardhi na kuahidi kutatua haraka tatizo hilo ili wananchi waishi kwa amani kama wakina ndani ya nchi yao. Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob ambaye ameshauriwa na watanzania wengi hasa wakazi wa Jiji la Dar kushirikiana na mheshimiwa Makonda kumaliza...
SOMA ZAIDI ...

Saturday, July 2, 2016

MUNGU WA KWELI AJIDHIHIRISHA KWA MCHUNGAJI HUYU, MCHUNGAJ MZOLA ATAKA KULETEWA VICHAA, MATASA, WENYE UKIMWI, KISUKARI, NGUVU ZA GIZA, MAELFU WAZIDI KUMIMINIKA KANISANI KWAKE...!

0 comments
 Hii ndiyo taswira ya waumini wanaendelea kupokea uponyaji wa kweli toka kwa mchungaji Mzola wa Kanisa la Hosana Ngome ya Yesu lililopo Nyakasangwe Wazo.  Mchungaji Mzola wa Kanisa la Hosana Ngome ya Yesu akiendesha ibada kwenye Kanisa lake Maelfu ya Watu wamekuwa wakimiminika kila Jumapili kwa ajiri ya kupata neno lakini pia kupokea uponyaji wa kweli  Na Amina Saidi-...
SOMA ZAIDI ...

Tuesday, June 28, 2016

KIMENUKA: RAIS MAGUFULI, PAUL MAKONDA NA LUKUVI WAZUSHA HOFU, MAJINA YA MAFISADI ARDHI KATA YA WAZO WANAODAIWA KUUWA WANANCHI WASIOKUWA NA HATIA KUTUA MEZANI KWA MH RAIS. VIONGOZI WA DINI WAWAOMBEA MSAMAHA WENYE MASHAMBA WALIAMUA KUWAACHIA WANANCHI...!

0 comments
 Mkuu wa Mkoa wa Dar Mheshimiwa Paul Makonda ambaye inadaiwa anataarifa kamili kuhusu mgogoro huo kutokana na mafanikio makubwa aliyofikia ya kuleta amani na mshikamano kwa pande hizo mbili watu wenye mashamba na wananchi wakazi wa maeneo hayo.  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akikagua utendaji wa watumishi wa Mipango Miji na Ardhi Wilayani...
SOMA ZAIDI ...

Thursday, June 23, 2016

KASHFA NZITO!!!, BONDIA MAARUFU TZ MBARONI KWA KUKUTWA NA KETE 300 ZA BANGI NA MIRUNGI, ATUMIA VIBAYA JINA LA MH MAKONDA ILI POLISI WAMUACHIE, POLISI WAMKAMATA KIMAFIA, AFANDE MAKOMEO APONGEZWA NA WANANCHI..!

0 comments
  Hapa Bondia Dulla Mbabe akimuomba D/c1090 Thausen Mwamba maarufu Makomeo amuachie huru kwani kama taarifa hizo zitawafikia viongozi wa chama cha ngumi kinachomuongoza atafungiwa hali inayoweza kumuua njaa.   Bondia Dulla Mbabe kushoto akiwa na Mada Maugo siku walipopima uzito kwa ajiri ya pambano lake. Mheshimwa Makonda ambaye jina lake limetumiwa vibaya na Bondia huyo ili Askari ...
SOMA ZAIDI ...

.

 

Copyright © 2025 MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king