Tuesday, July 12, 2016

WAGONJWA WA UKIMWI, KANSA WAZIDI KUPOKEA UPONYAJI KANISANI KWA MCHUNGAJI MZOLA MWENYE NGUVU ZA AJABU ZA KIMUNGU, MAELFU YA WATU WAZIDI KUJISALIMISHA ILI KUJIOKOA NA KIFO, WATANZANIA WAONYWA KUHUSU KUBEZA WATUMISHI WA MUNGU..!

 Mmoja wa wagonjwa wa Ukimwi aliyechelewa kuanza tiba akiwa ameathirika na vidonga kwenye kinywa chake, ambapo wagonjwa kama hawa wamekuwa wakipokea miujiza kwa mchungaji mzola wa Kanisa la Hosana Ngome ya Yesu Nyakasangwe kwa Mch Mzola.
  Bint wa shule mwenye maambukizi ya ukimwi.
   Mmoja wa wanandoa mwenye maambukizi ya ukimwi akipata ushauri wa Daktari kwenye moja ya Hospital za hapa nchini.
 Muuguzi akijua hali ya mgonjwa wake anayeugua ugonjwa hatari wa ukimwi. Ambapo wagonjwa wengi kwa sasa wameacha vitanda mahospitalin na kukimbilia kwa Mch Mzola wa Kanisa la Hosana Ngome ya Yesu Nyakasangwe Wazo Jijini Dar Es Salaam.
Hiki ndiyo kirusi cha ukimwi kama kinavyoonekana.

Mgonjwa ukimwi ambaye ni msanii aliyewahi kuwa na jina kubwa kiasi akiteseka na maradhi haya nyumbani kwao Arusha.


Na Mwandishi wa Maskanibongotz
Maajabu makubwa yameendelea kutendeka kwa Mch Mzola wa Kanisa la Ngome ya Yesu kwa watu wenye magonjwa mbalimbali waaminio   kwa kupokea uponyaji wa haraka kiasi cha kushangaza wengi.
Mungu amekuwa akimtumia mtumishi huyo kutenda miujiza ambapo hadi sasa maelfu ya watu wameendelea kumiminika Kanisani kwa mchungaji huyo huku wasiokuwa na uwezo wa kufika Kanisani kwake wakipokea uponyaji kupitia simu zao huko wlaiko.
Mchungaji Mzola toka igundulike nguvu ya aina yake aliyokuwa ya kiroho ya kuwaombea watu na wakapokenya uponyaji basi hali imekuwa tete Kanisani kwake ambapo kila siku za Mungu maelfu ya watu humiminika na kupokea uponyaji wa kweli.
Akiongea kwa simu namba 0713-161785 Mch Mzola alisema " Ndugu waandishi Mungu aliyepo mahara hapa si wa mzaha anatenda kazi zake kwa uadilifu mimi siponyi watu anayeponya ni Mungu hivyo ukifika hapa sisi tunachokifanya ni kukupa dozi mara moja na Mungu hushusha maajabu yake na unapona kamwe huwezi kuja hapa mgonjwa ukaondoka mgonjwa hapa Dakatari aliyepo hapa ni kiboko ya madaktari" Alisema Mch Mzola.
Hata hivyo mchungaji huyo anasema amekuwa akipokea wagonjwa wengi sana wenye magonjwa sugu kama Ukimwi, Kansa, Kisukari, na wenye matatizo kama ganzi, kupooza, umasikini, kushindwa kuolewa/kuona/ kufanikisha ndoto zako, wanafunzi kufanya vizuri darasani, wanaotafuta kazi bila mafanikio hao wanapata dozi maalum ndani ya wiki moja majibu wanayapata. na mengineo mengi.
Mchungaji huyo anasema ndugu na jamaa wenye ndugu zao ambao wako hali mbaya hawajiwezi wawabebe hata kwenye machela na kuwafikisha Kanisani kwake ila kwa wasioweza kufika kabisa Kanisani kwake basi wapige simu yake hii 0713-161785
 ambayo inapatikana masaa 24.


Hata hivyo mkazi wa Jijini Dar Thomas Jonson 45 ametoa angalizo kwa binadamu wote kuacha tabia za kubeza watumishi wa Mungu ambao uwepo wao duniani wanamuwakilisha Mungu hivyo si vyema sana kuwabeza, iwe mashekh sharif, Mashekh na wachugaji inapotokea wakawa wanafanya mambo ya uponyaji kama huu anaoufanya Mch Mzola kama hawataki kuamini ni heri kukaa kimya kuliko kuwasema vibaya watumishi hao wanaweza kujikuta kwenye laana nzito.

MUNGU hashindwi Jambo na lisilowezekana kwa wanadamu litawezekana kwke. Uponyaji wa kweli unatoka kwa Mungu. Karibuni sana kuja kupokea uponyaji wa kweli.
 Mch Mzola akiwa Kanisani kwake Nyakasangwe kata ya Wazo

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king