NYETI ZA MWANAMUZIKI HUYO KAMA ZINAVYOONEKA AMBAPO KAAMUA KUWAONESHA WATANZANIA JINSI ALIVYOUUMBIKA.
Eeh Jamani hakika ukisikia habari hii lazima uamini Dunia hiyo ukingoni kutokana na watu ambao tunaamini wapo njia sahihi ya kuwasiadia bidamu wasio kuwa na imani lakini kumbe ndivyo sivyo. Msanii wa Nyimbo za Injili toka Mkoani Kilimanjaro wilaya ya Moshi aitwa ANITHET ameendelea kutikisha nchi kwa aibu ya kupiga picha mbaya zilinazokinzana na maadili ya nchi yetu huku bila kufahamu lengo lake ni nini.
Hata hivyo msanii huyo ambae nyimbo zake zinatikisa Mikoa hiyo ya Arusha na Kilimanjaro tukio hilo limewakera sana mastaa mbalimbali wa nyimbo za injili kwa kuwatia doa na kusema hakika sasa muziki wa injili umeingiliwa. Anitheti ambae pia alikuwa kuolewa na mtangazji Beny Kinyaiya na baadae waliachana.
0 comments:
Post a Comment