Monday, August 1, 2016

HOFU YA MUNGU YATANDA: SHUHUDIA PICHA ZA WATU WALIOKUWA VICHAA, NA WENYE MAGONJWA SUGU YALIYOSHINDIKANA KUPONYEKA WALIVYOPOKEA UPONYAJI WA PAPO KWA HAPO KWA MCH MZOLA WA NYAKASANGWE...!

 Pichani Mchungaji wa Kanisa la Hossana Ngome ya Yesu lililopo Wazo Nyakasangwe akiwa picha ya pamoja na watu waliopokea uponyaji baada ya maombi yake huku watu hao wengine walikuwa vifaa kabisa lakini kwa sasa wamerejea kwenye hali yao ya kawaida.

Maelfu ya wananchi wenye uhitaji wameendelea kumiminika kwenye kanisa la Mchungaji Mzola kwa ajiri ya kumuona MUNGU wa kweli mbele za mtumishi huyu wa Mungu.
Mchungaji Mzola.
Na Mwandishi Wetu
Wakazti wa Jiji la Dar na vitongoji vyake wameendelea kukumbwa na mshangao kufuati miujiza ya Mungu inayoendelea kwenye kanisa la Mchungaji Mzola lililopo Wazo Nyakasangwe.
Mungu amekuwa akimtumia mchungaji huyu kufanya mambo ya kutisha kiasi cha kuwashangaza watu wengi ambapo hadi sasa watu wenye maradhi sugu kama ukimwi, kisukari, kansa na walio na ugumba, utasa, vifaa na wenye matatizo kwenye ndoa zao pamoja maofisini katika ajira zao wamefunguliwa na kupata ulinzi wa roho mtakatifu na sasa mambo yao yanakwenda vizuri.
Mtumishi huyo wa Mungu amekuwa na karama kubwa inayotokana na aliyemo ndani yake ambae ndiye anaeponya watu bali si yeye kwa maana Mungu yupo ndani ya kinywa cha mtumishi huyo hivyo kila atakalolitamka kwa jina la Yesu basi hata kama mtu alikuwa anasumbuliwa na aina yoyote ya tatizo basi anapokea uponyaji wa popo kwa hapo.
Mtumishi huyo ameendelea kuwasihi watanzania wasiache hadi mauti yawafike au jamaa zao wafe kwa ajiri ya maradhi hapana lipo tumaini pekee ambalo ni Yesu Kristo anaepatikana Kanisani kwake ambaye tiba na dozi yake ni ya uhakika mara moja tu basi mgonjwa anakuwa huru hivyo anayehitaji kuuona mkono wa Mungu utakaosambaratisha fitina kazini kwako, magonjwa yako na mikosi yako basi awasiliane na mtumishi huyo kwa simu namba +255 713 161 785 ni namba ya mtumishi huyo mwenye karama kubwa aliyopewa na MUNGU.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king