Monday, June 13, 2016

SHUHUDIA PICHA ZA TUKIO LA MWIGULI NCHEMBA ALIVYOWASILI KUMRIDHI KITWANGWA ALIYEPIGWA CHINI NYADHIFA HIYO KISA IKIWA NI ULEVI...!


June 13 2016 aliyekuwa waziri wa Kilimo na mifugo Mwigulu Lameck Nchemba aliapishwa rasmi Ikulu Dar es Salaam kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu ameapishwa kurithi nafasi iliyokuwa imeachwa wazi na Charles Kitwanga ambaye Rais Magufuli alifuta uteuzi wake May 2016 kwa kosa la kuingia na kujibu maswali ya wizara hiyo ikiaminika kuwa kalewa.
IMG-20160613-WA0019
Baada ya kuapishwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba akiwasili ofisini kwake
IMG-20160613-WA0020

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king