Monday, June 13, 2016

VIDEO: HII NDIYO TOP 1O YA MAGOLI BORA MUDA WOTE COPA AMERIKA...!T


Michuano maalum ya Copa America 2016 bado inaendelea, najua unajua kuwa mashindano hayo mwaka huu yanafanyika kwa lengo la kusherehekea miaka 10 ya michuano hiyo, tayari tumeshuhudia timu kama Brazil ikiaga mashindano hayo, lakini wakati tukiendelea kuburudika na michuano hiyo jikumbushe magoli 10 bora ya Copa America.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king