Sunday, January 24, 2016

TAHADHARI KUBWA:IKIWA BADO MASAA MACHACHE TU KABLA YA BUNGE KUANZA, DODOMA HOTEL ZIMEJAA HADI SASA, WAREMBO WAZIDI KUMIMINIKA KWA AJIRI YA KUWATEGA WAHESHIMIWA WABUNGE, WATAHADHARISHWA KUWA MAKINI NAO, MASKANIBONGOTZ IMENASA LIVE..!







 




 Na Mwandishi wa Maskanibongotz Dodoma
 Katika hali isiyotarajiwa zikiwa bado saa chache kabla ya kikao cha Bunge kuanza huko Dodoma hali imekuwa tete kufuatia kuwepo ongezeko la wasichana warembo ambao haijafahamika wamefika huko shughuri gani.
Gazeti la Maskanibongotz ambalo limepiga kambi Mkoani humo kwa ajiri ya kunasa kila kinachojiri, na hadi jana jioni tarehe 24 karibia nyumba zote za wageni zilikuwa zimejaa kutokana na ongezeko la wakina dada hao warembo.
Hata hivyo mmoja wa wakina dada hao alijitambulisha kwa jina la  Queen Shulo alisema na mwandishi wetu kuwa wapo humo kwa ajiri ya mishemishe tu za kutafuta pesa bila kufafanua vizuri ni mishe za aina gani.
Credit: maskanibongotz 


0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king