Shekh
Sharif Khamis ambae kwa sasa amrejea Tanzania akitokea nchini Kanada na
Kongo alikokuwepo kwa ajari ya kufanya dua za kuwakomboa watu kwenye
matatizo yao.
Mchungaji Kiongozi Amos Mbena wa Kanisa la Pentecostal Holness Mision Bonde la Ukombozi lililopo Kimara Suka mtaa wa Gorani |
Dr Kessy |
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda |
Watumishi
wa Mungu wa imani zote wamejitokeza na kusema maombi maalum kwa ajiri
wa viongozi wa taifa hili ambao dhaihiri wameonekana kupambana na na
ufisadi uliokuwa tishio kwenye Serikali iliyopita kiasi cha kuwafanya
wananchi kukosa imani na Serikali yao.
Maskanibongotz
kama kawaida yake ilifanya mahojiano maalum na watumishi hao kwa
nyakati tofauti ambapo Dr Kessy ambae ni mkurugenzi wa Fiesal
Naturopathic
Clinic iliyopo Mburahiti Shule ya Msingi Mianzini alianza kusema "
Shekh hakika sisi tunaendelea na dua za kila siku kuwaombe viongozi
wetu ili mungu awalinde na kuwapa ujasiri zaidi wa kupambana na hayaoa
mambo ya kifisadi"Alisema
Aidha
Dokta Kessy aliongeza kusema kuwa Mh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ambae
kiukweli amefanyakazi nzuri na ya hatari kutangaza vita na mafisadi wa
ardhi kiasi kwamba hadi sasa hali ya amani imeanza kurejea kwa wakazi wa
Nakasangwe na Nakalekwa .
Aidha anae Mchungaji wa Kanisa la Pentecostal
Holness Mision Bonde la Ukombozi lililopo Kimara Suka mtaa wa Gorani
Amos Mbena alisema" Tunapaswa kuungana watu wote wenye nia ya dhati na
taifa hili kama tulivyofanya kwenye uchaguzi hivyo tuendelee kuwaombea
viongozi wetu wa taifa hili.
Nae
kijana Shekh Sharif Khamis ambae amekuwa akiizunguka Dunia kwa ajiri ya
kufanya dua ili watu wapate ukombozi ambae kwa sasa amrejea nchini
alisema " Taifa hili bado linahitaji dua ya kutosha kuwaombea viongozi
wetu, Mh Paul Makonda amejitoa muhanga kupambana na ufisadi wa ardhi
kule Nakasangwe na mahara pengine ni jambo ambalo wengi liliwashinda"
Alisema kijana huyo na kuwaomba watanzania wote kuendelea kuwaombea
viongozi wetu
Credit: maskanibongotz
0 comments:
Post a Comment