Rais wa awamu wa NNE Mh Jakaya Mrisho Kikwete, ambapo wafanyabiashara wengi kwa sasa wanamkumbuka kutokana na kibano wanachokipata sasa cha Serikali ya awamu ya Tano ya Mh Dokta Magufuli ambae amewatangazia kiama wakwepa kodi wote hadi sasa wengine wameanza kukimbia nchi kuhofia kutiwa mikononi kwa wale wote ambao walikuwa hawalipi kodi na kuisababishia hasara Serikali. maskanibongotz mzigoni
Rais John Pombe Magufuli mzee wa hapa kazi akizungumza na simu ya kiganjani, ambapo amevunja rekodi kwa kipindi kifupi kwa kuokoa mamilioni ya shilingi kwa kukataa kufanya sherehe mbalimbali badala yake fedha hizo zimetumika kusaidiama maeneo mengine yenye uhitaji.
Huku watanzania wengi wakimpa Mungu utukufu kwa kuwapatia Rais waliyekuwa wanamuhitaji
mfanyabiashara maarufu Jijini Dar akilia kwa uchungu
Source:maskanibongotz
0 comments:
Post a Comment