Saturday, December 12, 2015

NI SHEEEEEDA: WANANCHI WASHINDWA KUJIZUIA UTEUZI WA WAZIRI LUKUVI, WAKESHA SIKU TATU WAKIFURAHIA , WASEMA SASA UKOMBOZI UMEKARIBIA...!


WAKAZI WA NYAKASANGWE KATA YA WAZO WAKIFURAHIA KUTEULIWA KWA WAZIRI Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mh William Lukuvi, kwani wana imani kuwa atashirikiana na DC MAKONDA kuwasambaratisha mafisadi wa ardhi wanaotamba ..!
Credit: Maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king