Mmoja wa wagonjwa ambae ameacha kitanda na kwenda kwa Mchungaji Mzola wa Kanisa la Hosana Lililopo Nyakasangwa kata ya Wazo kwa ajiri ya kupata huduma ya uponyaji |
Wagonjwa mbalimbali wamekuwa wakimiminika kwa mchungaji Mzola kwa ajiri ya kuukimbia umauti na hatimae wanapona |
|
Mgonjwa wa Ukimwi mpya ambapo magonjwa kama ya aina hii yamekuwa kitu kidogo kwa mchungaji Mzola wa Kanisa la Hosana lililopo Nyakasangwe. |
Mchungaji Mzola wa Kanisa la Hosana Msigani maarufu kwa jina la NGOMA YA YESU MSIGANI |
Hakika Mungu hutumia watumishi wake kufanya maajabu, hivi ndivyo tunavyoweza kusema. Mchungaji wa Kanisa la Hosana Msigani, Mzola ameendelea kuushanga ulimwengu kutokana na nguvu ya ajabu aliyokuwa nayo ya kuponya watu wenye magonjwa sugu yakiwemo Ukimwi, Kansa nk.
Mchungaji huyo mwenye kanisa dogo tu lililopo Waza mtaa wa Nyakasangwe Msigani lakini amekuwa akifanya mambo ya kushangaza watu kutokana na nguvu ya upako aliyokuwa nayo.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wagonjwa wengi kwa sasa toka Hospitali mbalimbali wenye magonjwa yaliyoshindikana wameamua kuacha vitanda baada ya kukata tamaa ya matatizo yao na kukimbilia kwa amchungaji huyo tena wakiwa kwenye pikipiki kwa msaada lakini wakanyagapo kwenye ardhi ya kanisa hilo tu, basi hupata uponyaji wa papo kwa hapo.
Hata hivyo mchungaji huyo amewaomba watanzania popote walipo Duniani wasisubiri kifo kiwakute kwa matatizo yanayowasumbua na hata kwa magonjwa sugu kama Ukimwi, Kansa, kichaa, nk wawabebe watu wao na kumlekea ili awape dozi ya Yesu Kristo kwani lisilowezekana kwa binadamu linawezekana kwa Mungu.
Mchugaji aliongeza kusema" Wabebeni wagonjwa wenu na kuwaleta hapa kwenye dozi isiyokuwa na gharama Mungu hashindwi jambo" Alisema na kutoa namba yake ya simu 0713-161785 kwa watu wasioweza kufika kanisani kwake atawapatoa dozi hiyo kwa njia ya simu.
0 comments:
Post a Comment