Tuesday, March 8, 2016

HAYA NDIYO MAAJABU YA MUNGU KUPITIA MTUMISHI WAKE , WENYE VICHAA, WALEMAVU, UGONJWA WATOA USHUHUDA JINSI MAOMBI YA MCHUNGAJI HUYO YALIVYOWAPONYESHA..!

 

 Mch: Mzola akiwa na watu waliokuwa vichaa kabisa huko Mitaani huku wakila wadudu  akiwa kwenye picha ya pamoja huku wakiendelea na Dozi kwenye Kanisa la Hosana "Ngome ya Yesu" Huko Wazo Nyakasangwe Jumapili iliyopita
 
 Haruni Chinamata toka Dodoma akiwa na barua ya familia kupitia Mtendaji wa Kata ya Miyuji Dodoma mara baada ya kupata uponyaji wa maombi ya Mch Mzola wa Kanisa la  Hosana " Ngome ya Yesu"
 Hii ni moja ya silaha za kichawi yenye uwezo wa kuuwa binadamu, lakini pia hutumika kama usafiri wa kichawi, vifaa hivyo vilisalimishwa na dada mmoja aliyepokea uponyaji Mkoani Dodoma

Mchungaji Mzola akiwa na mwandishi wa habari za uchunguzi toka E-fm Radio Bw Livingstone Mkoi, akimuonesha maji yaliyotoka kwenye bwawa ambalo wachawi huwa wanafanyia bunge lao.
Na Mwandishi Wetu
Yule mchungaji kiboko ya wachawi nchini Tanzania Mch Mzola wa Kanisa la Hosana Ngome ya Yesu Msigani mtaa wa Nyakasangwe kata ya Wazo Mungu ameendelea kumtumia kwa kuwaponya vichaa, wenye maradhi sugu kama Ukimwi na nk kiasi cha kuwafanya watu kupigwa na butwaa .
Safari hii mchungaji huyo amezusha balaa kubwa Mkoani Dodoma kiasi cha kuhatarisha amani mara baada  kutua mkoani humo na kukabidhiwa kichaa ambae alikuwa anakula vyura, wadudu, majini ambae alipata dozi ya papo kwa hapo na akapona.
Mchungaji huyo aliongeza kusema kuwa anaendelea kutoa uwito kwa watanzania wote kuendelea kufika Kanisani kwake ili wapate uponyaji, kwani Kwa Mungu hakuna lisilowezekana, kila magonjwa yote sugu, ugumba, utasa, mikosi ya kushindwa kuolewa/kuona, kuwa na mashaka, hofu ya kifo nk.
Na amesema watkaoshindwa kufika kanisani kwake Kata ya Wazo mtaa  Nyakasangwe wanaweza kumpigia simu kupitia namba hizi 0763-161785/ 0713-161785 na wao watapokea uponyaji huko walipo.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king