![]() |
Shekh Sharif Khamis akiwa kwenye msikiti Mkuu nchini Uganda kwenye eneo la Aruwa. |
Shekh Sharif Khamis akiwa kwenye muhadhara ulioandaliwa mahususi kwa ajairi ya kuwaokoa watu waliokuwa wamekata tamaa huku wengine wakisilim na kuurea uislam
Na Mwandishi wa maskanibongotz -Uganda
Kijana
mwenye historia ndefu ya mashekh Sharif wa Tanzania ameendelea kuonesha
maajabu yake kupitia Mungu aliyemfungulia kuwa wa namna hiyo , kijana
huyo ni Shekh Sharif Khamis ambae alianza kumtumikia Mungu toka akiwa na
mwaka mmoja hadi leo.
Kijana
huyo ambae tangu umri huo akiwa na mwaka mmoja alipoanza kuonesha
maajabu yake hadi leo amekuwa akiuzunguka ulimwengu na kutenda mambo
makuu ya Mungu kiasi cha kuwashangaza watu wengi na kushindwa kuamini
kama kijana huyo ni kweli binadamu wa kawaida au nini.
Shekh
Sharif Khamis kwa sasa yupo nchini Uganda baada ya kutoka Sudani na
juzi alikuwa aliendelea na mihadhara yake nchini humo kwenye eneo la
Aruwa ambapo watu zaidi ya elfu zaidi ya elfu ishirini toka sehemu
totafuti walibadilisha maisha yao kwa kuokolewa na matatizo yao huku
vituo vingi vya televisheni vikionesha matukio hayo huku yakishuhudia
pia na rais wa Uganda Mh Joel Kaguta Museveni
Hata
hivyo Shekh Sharif Khamis aliuambia mtandao huu wa maskanibongotz kuwa
amekuwa akielendelea na kazi ya hiyo ya kumtngaza mungu na mtume licha
ya kukutana na changamoto nyingi, lakini pia kubwa zaidi ni juu ya
kuwepo kwa mashekh sharif fake wenye nia ya kuharibu sifa za ushekh
sharif hilo limekuwa likimuumiza sana .
Aidhs
Shekh sharif Khamis amesema hivi karibuni atarejea Tanzania ili
aendelee kuwasaidia Watanzania wenzake kwa kuwafanyia dua ili waondokane
na matatizo hivyo siku zikikaribia atawatangazia watanzania kwamba
amerejea nchini na lakini hata hivyo kwa wale wote wanaohitaji msaada
sehemu yoyote duniani wanaweza kumpata kwa namba hii ya simu +255 717688
792 namba hiyo ipo imeunganishwa mahala popote inapatikana.
0 comments:
Post a Comment