Na Mwandishi wa Maskanibongotz
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua muhindi mmoja mkazi wa Posta Jijini Dar ambae hakufahamika jina lake hivi karibuni alinaswa akitaka kumbaka msichana wake wa kazi.
Kwa mujibu wa mtoa habari hii ambae ameomba hifadhi ya jina lake amesema kuwa muhindi huyo pia ni bosi wa mambo ya filamu Tanzania, alinaswa akiwa chumbani kwake na msichana huyo huku akimvua kwa nguvu jeans yake kama picha inavyoonekna.
Credit: maskanibongotz
0 comments:
Post a Comment