Hapa Kigogo huyu mwenye heshima kubwa kwenye chama hicho akiokolewa na Askari Polisi waliokuwa dolia na kumnusuru na kipigo cha mbwa mwizi.
Bint akificha uso kukwepe kamera za maskanibongotz zilizokuwa zimetengwa ndani ya chumba hicho baada ya kupata taarifa za kuwepo kwa tukio hilo. |
Kijana ambae ni mpenzi na bint huyo akizungumza na babu huyu na kumuomba wayamalize asimdhalilishe kwa kumpelekea Kituo cha Polisi kwa vile yeye ni mtu na familia yake.
Na Mwandishi wa Maskanibongotz- Kinondoni Moscow
Wakati Wakristo Duniani kote muda huu wakijiandaa kuingia kwenye mkesha wa Christmas huku wapo wengine wakifanya uzinzi wa kutisha.
Mzee mmoja mwenye umri wa mika 65 mkazi wa Mabibo Jijini Dar es Salaam jioni hii ya leo amenaswa akiwa na kibinti chenye umri wa miaka kumi na nane akijaandaa kuduu nae.
Tukio hilo la aibu kwa mzee huyo ambae inadaiwa ni kiongozi mwenye heshima kubwa kwenye chama kimoja cha Siasa "Jina linahifadhiwa" limetoke kwenye nyumba ya kulala wageni ijulikanayo kwa jina la MP guest House iliyopo mtaa wa Moscow Mkawajuni Jijini Dar.
Habari zaidi juu ya tukio hilo la kufedhehesha zilisema kuwa mzee huyo kitombi alikuwa amewekewa mtego baada ya kumsumbua kwa muda mrefu bint huyo akitaka kiburudisho chake, licha ya kumkatalia kwa kipindi kirefu bila mafanikio.
Hata hivyo baada ya kuona usumbufu umezidi bint huyo aliamua kumueleza mchumbaake ambae waliamua kuweka mtego na hatimae ulifanikiwa kumnasa mzee huyo "Jina linahifadhiwa" ambae anaishi Mabibo.
Aidha hata hivyo bila jitihada za Polisi kumuokoa mzee huyo huenda angeweza kuumizwa vibaya kutokana na mchumba wa bint huyo kumtandika makofi ya kutosha babu huyo ambae muda wote alikuwa anamuomba kijana huyo wayamalize mambo hayo yasifike mbali kwa vile yeye ni mume wa mtu.
Kamera za kisasa za maskanibongotz zilihusishwa kwenye tukio hilo na kufanikiwa kuchukua picha za tukio zima kama linavyoonekana.
Credit:maskanibongotz
0 comments:
Post a Comment