Monday, November 9, 2015

WATOTO MAPACHA WAMTOKEA PUANI DOKTA FADHILI ALEMEWA NA HUDUMA, MAELFU YA WATU WANAOFIKA KUPATA USHAURI WA KUPATA WATOTO MAPACHA WAONGEZEKA..!

 Dr Dafhili ambae amekuwa gumzo nchini Tanzania kutokana na ushauri na tiba zake za kupata watoto kuwa na mafanikio hali inamfanya kukosa muda wa kupumnzika kwa ajiri ya kuwapokea watu.
Watoto mapacha ambao wamekuwa wakipatikana kwa ushauri wa Dr Fadhili ambapo hata mgumba ambae hajawahi kupata mtoto baada ya ushauri wa dokta huyo wengi wamepata watoto tena mapacha kama hawa.
Kijana wa kitanzania ambae inaelezwa ni bilionea mtoto maarufu kama Fathaget au Billgate wa Tanzania ameendelea kuteka akir za watu kiasi cha kuwachangaya kutokana na ushauri wake wa kitatibu na kutibu magonjwa yote lakini kubwa zaidi namna mtu atkavyopenda kupata mtoto wa jinsia gani au kama mapacha basi inawezekana kuwapata ili amradi ufuate njia unazoelekezwa. Akiongea na gazeti la Kiu hivi karibuni Dokta huyo alisema ndiyo mungu aliweka watu wenye uelewa wa elimu na wa kawaida, ambapo wao kutumia elimu yao inadaida wawasaidie watanzania kuwaelimisha kama hicho anachokifanya yeye kuwapa watu ushauri wengi walikuwa hawajui kama unaweza kupanga kuzaa mtoto wa jinsia unayoitaka au hata mapcha watatu wawili nk.  

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king