Na Mwandishi Wetu wa maskanibongo- Kimara
Maombi yanayoendelea kwenye Kanisa la Pentecostal Holness Mision Bonde la Ukombozi lililopo Kimara Suka mtaa wa Gorani yamezidi kuwakomboa watanzania wenye mardhi sugu huku Mungu wa kweli akionekana live maeneo hayo kwa miujiza aliyowapa watumishi wake.
Kanisa hilo ambalo ni la miti kama linavyoonekana lakini linafanyakazi kubwa na ya kushagaza kwani watanzania wengi wanapona live bila logo longo huku wakiondoaka na mibaraka tele.
Watu mbalimbali waliokuwa wamefrika wiki iliyopita ndani ya Kanisa hili wakiwemo waandishi wa habari walishuhudia uponyaji wa ajabu ambapo kuna watu walikuja na magongo wakatoka wakitembea wenyewe huku magongo hayo wakiyaacha kanisania hapo.
Mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo Amos Mbena aliuambia mtandao huu kuwa" Ndugu waandishi wa habari kama mlivyojionea hapa vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, watu wenye maradhi sugu yakiwemo Kisukari, Ukimwi na magonjwa yote ya ajabu wanapata kupona hapa hapa" Alisema Mchungaji huyo mwenye nguvu za ajabu
Mchungaji huyo ambae nguvu zake zimezdi kiwanga kiasi kwamba kila akimuangalia mtu mwenye maradhi humgungua tatizo lake.
Hata hivyo mchungaji huyo aliendelea kutoa uwito kwa sasa bado wanaendelea na uparesheni tokomeza magonjwa sugu hivyo watanzania watumie nafasi hiyo kupokea uponyaji wa matatizo yao ya aina yoyote na huduma yake hata ukimpigia kwenye simu atakufanyia huko uliko hata ukiwa Ulaya lakini kwa wakazi wa Dar wanaweza kufika Kanisani kwake Kimara Suka na watamuona Mungu wa kweli.
Mchungaji huyo alizitaja namba zake za simu kuwa ni +255 716 200 065, ya Mchungaji Kiongozi Amosi Mbena +255 657 897 211 ya mwinjilisti Inocent Gelvas na watapata uponyaji wa haraka
0 comments:
Post a Comment