Browse » Home
Saturday, November 28, 2015
MIUJIZA YAJITOKEZA WAKATI WAKUUAGA MWILI WA KAMANDA MAWAZO HUKO MWANAZA, MVUA YANYESHA UPANDE MMOJA HUKU SHEMUE NYINGINE KUKIWA KUKAVU, NIMEKUWEKEA PICHA ZA TUKIO HILO.
Tukio lililowashtua watu wengi la mvua kunyesha upande wa ilipokuwa gari iliyobeba mwili wa Kamanda Mawazo
Tukio lililowashtua watu wengi la sehemu hii ikionekana kavu wakati sehemu nyingine ikionekana mvua kubwa ikinyesha hali hiyo iliwashtua wakazi wengi na kuepelekea kumpa Mungu utukufu na kumuomba mpokee kamanda huyo kipenzi cha watu
Mtoto wa Kamanda Mawazo mwenye umri wa miaka 9 akiwa na mamaake wakiwa mbele ya jeneza lillobeba mwili wa marehemu.
Credit: Maskanibongotz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment