Thursday, November 19, 2015

MAKUBWA HAYA: DADA MWENYE PEPO MBYA ATEMBEZA KICHAPO KANISANI, WACHUNGAJI, WAUMINI WATAFUTA MLANGO WA KUTOKEA, WANAUME SABA WAMKAMATA BILA MAFANIKIO, KANISA LAGEUKA SEHEMU YA MASUMBWI. PCIHA HIZI HAPA..!


Mwanamke amwenye nguvu za ajabu akiwatoa jasho watumishi wa Mungu akiwepo Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la la Pentecostal Holness Mision Bonde la Ukombozi  lilipo Kimara Suka mtaa wa Gorani Mch:
Amos Mbena mwenye shati jeupe


Bint ambae ni mwanafunzi wa sekondary akigara gara chini mara baada ya kutoka katika hali ya kibinadamu na kuwa kama nyoka na kuburuzika kama mdudu huyo




Mwinjilist wa Kimataifa  Inocent Gelvas akitokwa na jasho kutoa pepo wa mabaya wa dada huyo ambae alizungumza mambo mazito ya kwamba walimuua baba yao mzazi ambae hadi sasa anaishi kwenye mapango huko Mkoani Morogoro huku wakimfanyisha kazi ngumu za kuliama.

Mchezo huo ulianza hivi ambapo mchungaji huyo alianza kumuombe dada huyu kawaida tu.





Kazi ikaanza ambapo dada huyo alicharuka na kuanza kurusha makonde mazito kwa watumishi wa Mungu

Hapa kimenuka DADA huyo akizidi kupa nguvu za ajabu na kuanza kupambana na wanaume saba


 Jasho likiwatoka wanaume hao

Licha ya kumshika kwa nguvu lakini aliwazidi nguvu.


Maombi yanayoendelea kwenye Kanisa la Pentecostal Holness Mision Bonde la Ukombozi  lililopo Kimara Suka mtaa wa Gorani juu ya watu wanaotseka na maradhi sugu yakiwemo Ukimwi Kisukari pamoja nguvu wiki iliyopita jopo la wachaungaji wa kanisa hilo walikumbana na balaa.
Wakiwa kwenye maombi hayo maalum ya kuvunja nguvu za giza na uponyaji kuna mwanadada anaeonekana ambae alikuwa amesafiri toka Morogoro kuja Dar kwa ajiri ya kufika ndani ya Kanisa hilo linaloongoza kwa uponyaji Dar.
Hata hivyo dada huyo mchuangaji Amos Mbena ambae alipoanza tu kufanya maombezi tu ndipo balaa lilipozuka ambapo dada huyo alianza kurusha makonde huku jopo la watumishi hao zaidi ya saba wakimshika bila mafanikio na baada ya saa moja ndipo dada huyo alipotulia na kupokea uponyaji.
Mchungaji Kiongozi wa kanisha  hilo Amos Mben kushirikiana  na watumishi wengine wa Mungu Inocent Gelvas, , Mchungaji  Musa Hassan Musa wameendelea kutoa rai kwa watanzania kuacha kuteseka wakati mkombozi yupo kwa Mungu hakuna linaloshindikana hivyo kutumia watumishi wake aliowapa nguvu za ajabu Kanisani hapo basi kila ugonjwa utapata kupona, Iwe Ukimwi, Kisukari na maradhi mengine mengi. 

Hivyo wale wote popote walipo duniani kwa wanahitaji maombezi hata kwa njia ya simu wawasiliane nae kwa simu namba  +255 716 200 065, ya Mchungaji Kiongozi Amosi Mbena  +255 657 897  211 ya mwinjilisti Inocent Gelvas na watapata uponyaji wa haraka

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king