Pika katika video hiyo ambayo ni clip chache zikiwaonesha wapiganaji wa kundi hilo wakiwapiga risasi za kichwa na kuwaua kinyama watu waliokuwa wametekwa na kufungwa kamba miguuni na mikononi.
Mwandishi wa habari wa Kimarekani mwenye asili ya Kisomali aitwae Steven Sotloff mwenye umri wa miaka 31 na kushoto kwake ni James Foley. ambao wote ni waandishi wa habari waliokuwa wakitimiza majukumu yao nchini Iraq mwaka jana |
Mtu asiyefahamika akiamliwa kusali sala zake za mwisho kabla ya kuuawa
Mtandao huu wa maskanibongotz kushirikiana na mitandao mingine ya kimataifa imenasa picha hizi zilizovujishwa na Kundi la wapiganaji wa dola ya Kiislam IS limetoa video inayo onyesha mauaji ya zaidi ya watu 30 raia Ethiopia ambao ni Wakristo wakiuawa wengine kwa kuchinjwa katika ufukwe wa bahari na wengine kwa kupigwa risasi kichwani jangwani. Hata hivyo video hiyo inabainisha wazi kwamba kundi hilo la IS linawaua watu hao kwa sababu ni wakristo. Serikali ya Ethipia imesema kuwa inajaribu kufuatilia utambulisho wa utaifa wa watu hao kupitia ubalozi wa Cairo nchini Misri. Hali ya usalama nchini Libya imetetereka tangu kuangushwa kwa utawala wa Kanal Muamar Gadaf, ambapo pia ustawi wa kundi la kigaidi wa wapiganaji wa dola ya Kiislam umekuwa mkubwa.
Hata hivyo dunia imetakuwa kukesha katika maombi kwa ajiri ya kurejesha amani miongoni mwa bindamu kwani kundi hilo limekuwa likiua hadi waislam wenzao wanaonekana kwenda kinyume na maadili ya dini hiyo yenye heshima kubwa duniani.
Credit:maskanibongotz
0 comments:
Post a Comment