Friday, November 13, 2015

LOOH HII LAANA HADI LINI JAMANI? WANAWAKE WAONGOZA KUJIDHALILISHA KULIKO WANAUME, WENGI WAGUNDULIKA HAWAVAI NGUO ZA NDANI KABISA WAKATI WAKIWA KUMBI ZA STAREHE, JE WANAWAKE WANAOPIGA PICHA ZA AIBU HAWANA WAZAZI AU NI KUKOSA MAADILI? MASKANIBONGOTZ MZIGONI..!

 Kwa wakida dada wa mjini hii ni kawaida sana kuvaa hivi bila kujari kama wanajidhalilisha , ambao wananchi wengi wameiomba Serikali kupitia jeshi la Polisi na mamlaka za TCRA kuacha kusubiri hadi mtu binafisi akashitaki badala yake wakamatwe na kufungulia mashtaka ya kujidhalilisha wenyewe ili iwe fundisho kwa wengine,. vist maskanibongotz
Hata kama sheria inaruhusu kupiga picha za matumizi binfasi kwa uhuru wake bila kuingilia uhuru wa mtu mwingine, sheria hiyo imeonakana kutoa nafasi ya wakina dada wengi kupiga picha mbaya na kuzirusha kwenye mitandao ya kijamii bila kuhamika sababu za kufanya hivyo. vist maskanibongotz

  Hivi ndivyo hali ilivyo kwenye kumbi za starehe nyakati za usiku ambapo wakina dada wengi wanaondoka makwao bila kuvaa nguo za ndani.vist maskanibongotz
Mfano wa dada huyu ambae kama anavyoonekana akionekana ndani hajavaa nguo ya kumsitili na picha hii amepiga kwa hiali yake na kuirusha mtandao ili duania iione.vist maskanibongotz
Tabia kama hizi ni lazima zikomeshwe kwa wote wanaopiga picha za aibu na wanafahamika wakamatwe kufungulia mashtaka huyu ni mmoja wa wanafunzi maarufu wa chuo kimoja Mkoani Dodoma ni dada anaefahamika sana.vist maskanibongotz
 Uvaaji kama huu pia unachangia kuvunja utamaduni wetu.vist maskanibongotz
 Wakina dada hawa ndiyo waanzishilishi wa picha za aibu ambapo hadi leo hii hawajawahi kuhojiwa na vyombo husika ili kubanwa kwa nini walifanya hivi  kwani si tamaduni zetu watanzania.vist maskanibongotz
 Mcheza shoo mmoja maarufu akicheza stejini huku kama picha inavyojieleza.vist maskanibongotz
vist maskanibongotz




Basata walionesha mfano kwa mwanamuziki Shilole "KIOO" kwa kumfungia pia kwa wanamuziki wengine pia wachukuliwe hatua kwa mfano picha hii ya mwanamuziki Linah hali inayomfanya hata yeye kukosa uhuru wa kufanya kazi yake kwani muda wote anaufanya mkono wake uzuie  utamu .vist maskanibongotz
 Kwa waigizaji nao kuwe na chombo chao kinachoshughurikia adhabu zao.vist maskanibongotz



Na Mwandishi wa maskanibongotz
 Kufuatia serikali kupitisha sheria kali za makosa ya kimtandao ili kujaribu kupunguza makosa mbalimbali ya uwizi kupitia mitandao lakini pia kukomesha vitendo vya kidhalilishaji vilivyoshamiri kwenye mitandao ya kijamii na kuandika habari za uongo.
Sheria hii kimsingi imekwishaanza kufanya kazi yake hadi sasa watu kadhaa wameshakamatwa na kufikishwa mahakamani, ambapo lakini wengi wao tulioshuhudia wakimatwa ni wale waliosambaza taarifa za uongo za uchochezi nk.
Hata hivyo wananchi wengi Jijini Dare walizungumza na mtandao huu pendwa kwa habari na picha za matukio wa maskanibongotz walisema kuwa wanaimba Serikali kupitia mamlaka husika zilipewa jukumu la kuwashuhurikia waharifu wa mitandao pia kuwashughulikia wale wote wanaojipiga picha za kujidhalilisha  wenyewe kwa hiali yao na kuzirusha mitandao makusudi .
Hali hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa ongezeko la wakina dada wanaopiga picha hizo za aibu na kinyume na utamaduni wa taifa letu lenye heshima kubwa duniani, ambapo wakina dada hao wengi wo wanafahamika na wengine wanasanii na waigizaji  na watu binafsi  wamepiga picha hizo kama zinavyooneka hapo juu.
Akiongea na msakanibongotz afisa mmoja wa Polisi ambae aligoma kutaja jina lake kwa madai kuwa yeye si msemaji wa Jeshi la Polisi alisema" Ujue ndugu mwandishi sheria hii ni ngumu sana kwa upande wa Polisi sio kama hatuoni hizi picha bali tunaona na tunaumia sana ila kuna kipengele kinatubana cha kuwakamata isipokuwa labda kwa hii sheria ya makosa ya kimtandao kushirikiana na TCRA tunaweza kukama sasa" Alisema
Afisa huyo wa polisi aliongeza kusema kuwa awali kabla ya sheria hiyo haijapitishwa walikuwa hawana mamlaka ya kumkamata mtu aliyepiga picha za uchi hadi labda mlalamikaji afike polisi kulalamika hapo ndipo Polisi alikuwa na mamlaka ya kufanya hivyo.
Katika picha hizo juu wanawake wengi hasa wakina dada wa mjini wameonekan kutokuvaa nguo za ndani nyakati za usiku na kujipiga picha za aibu na kuzisambaza makusudi hali inayofanya kujidhalilisha lakini pia kuwadhalilisha wanawake wote jambapo linatakiwa mamlaka husika zichukue hatua kali kwa wote watakaogundulika kufanya hivyo.
Mtandao huu wa maskanibongotz unaungana na watanzania wapenda maadili mema kulani tabia hii mbaya ya kuiga inayofanywa na wakidada wasiokuwa na busara na hekima hata ndani ya familia zao kwani sisi watanzania huu sio utamaduni wetu hii ni tabia ya kuiga tu.
.vist maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king