Wednesday, August 5, 2015

WASANII HAWA NI TISHIO BONGO MOVIE, JB ASEMA SASA MANAIKI SANGA ANASTAHIRI PONGEZI KWA FILAMU YAKE YA WAKE UP...!


Hii ndiyo filamu mpya ya Wake Up ya msanii Manaiki Sanga ebu bofya hapa kuiona kazi nzuri na ya kihistoria...!

 WASANII: Manaiki Sanga kulia akiwa na Ernest Napoleon  ambapo wasanii hao kwa pamoja sasa wameungana kuhakikisha wanaipeleka sanaa ya filamu ya Tanzania Kimataifa, ambapo Ernest Napoleon kwa sasa yupo nchini Kenya kwa ajiri ya maandalizi ya uzinduzi wa filamu yake ya Going Bongo hivi karibuni filamu ya Manaiki Sanga aliyowashirikisha wasanii mastaa zaidi ya 30 pamoja na sasa tarehe ya kutoka filamu hiyo ya Wake Up imetajwa mbapo ni tarehe 30 mwezi huu.

Hii ndiyo listi ya wasanii walioshiriki  kwenye filamu ya Wake Up .

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king