Wednesday, August 5, 2015

HILI BALAA SASA: MTOTO WA LOWASA AWA KIVUTIO KILA KILA KONA YA NCHI, AONEKANA KWA MARA YA KWANZA AKIWA KWENYE GWANDA ...!

BOFYA HAPA KUONA FILAMU MPYA YA MSANII MANAIKI SANGA IITWAYO WAKE UP ALIYOWASHIRIKISHA WASANII ZAIDI YA 30 NDANI YAKE
 
Mtoto wa Mh Edward Lowassa, Fred Lowassa akiwa na Mh. Joseph Mbilinyi Sugu
Walio wengi hatujawahi kumuona mtoto wa Mh. Edward Lowassa, au kama tulishawahi kumuona hatujawahi kumuona akiwa amevaa gwanda . Nimekuwekea hapa picha yake akiwa na Mh. Joseph Mbilinyi sugu.
Wadau wa Chadema wakiwa katika Mkutano Wa Chadema
 
Moja ya Matukio yanaliyoendelea katika Mkutano huo ambapo macho ya wengi pamoja na kamera zilikuwa zikimuelekeza mtoto huyo wa Lowasa huku mitaani walikokuwa wanatizama wananchi wengi walikuwa wakivutiwa kumuona mtoto huyo wa Lowasa

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king