Wednesday, August 12, 2015

HISIA KALI ZA MAPENZI: ANGALIA JINSI MWANAMKE ASIYEKEKETWA ANAVYOFAIDI TENDO LA NDOA KULIKO ALIYEKEKETWA. SERIKALI YAZAIDI KUPONGEZWA KWA KUPIGA MARUFUKU UKEKETWAJI..!

                         

HIVI NDIVYO MWANAMKE ASIYEKEKETWA ANAVYOKUWA NA HISIA KALI ZA MAPENZI KULIKO MWANAMKE ALIYEKEKETWA. 
 
FILAMU MPYA YA MSANII MANAIKI SANGA INAYOTARAJIA KUINGIA MTAANI WIKI MBILI ZIJAZO IKISAMBAZWA NA KAMPUNI YA STEPS. FILAMU HIYO ILIYOWASHIRIKISHA WASANII ZAIDI YA 30 IITWAYO WAKE UP 

           

                                    
 MWANAMKE ASIYEKEKETWA MARA NYINGI HUZIDIWA NA HISIA ZA MAPENZI WAKATI WOWOTE HALI INAYOMFANYA KUFURAHIA MAISHA ZAIDI HAPA DUNIANI
WAKATI MWINGINE MWANAMKE ASIYEKEKETWA HUWA KWENYE WAKAZI WA HISIA MUDA WOTE KULIKO MWANAMKE MWANAMKE ALIYEKEKETWA..!
 









 MWANAMKE ASIYEKEKETWA HUWA KWENYE HISIA MUDA MWINGI

 Na Sakina Shabani Ripota wa Maskanibongotz- Iringa
 Ni ukweli usiopingika kwamba wanawake wote wasiokeketwa wanaongoza kufurahia zaidi tendo la ndoa kuliko mwanamke aliyekeketwa.
Uchunguzi huu wa kina unathibitishwa na baadhi ya wanawake wa aina hizo wote kwa pamoja mbapo kati yao waliokeketwa pia wanaelezea namna wanavyokosa hisia za tendo hilo na huku wasiokeketwa nao wakitabanikisha kuwa wanafurahia tendo hilo utadhani hakuna kifo duniani.
Tabia hii ya ukekektaji wa wanawake inapaswa kupingwa usiku na mchana kwa makabila yote kwani wanawakosesha raha duniani watoto wa kike pindi wanapofikisha umri wa kuanza kufanya mapenzi.
Mwanamke asiyefanyiwa tukio hilo la kikatili huwa anafaidi tendo hilo kiasi cha kuchanganyikiwa.
Credit: Maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king