Tuesday, August 11, 2015

RIDHIWANI KIKWETE ATOA KAURI NZITO KWA MH; MBOWE, WATU WACHARUKA ANGALIA HAPA KILICHOTOKEA..!


.
.
Ni stori ambayo imechukua headline kwa mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowejana Aug 10 2015 baada ya kumaliza harakati za kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais kwenye tume ya taifa ya uchaguzi, alipelekwa hospitali baada ya kupata kizunguzungu kikubwa.
.
.BOFYA HAPA KUONA FILAMU YA WAKE UP YA MSANII MANAIKI SANGA INAYOTARAJIA KUTOKA TAREHE 31.08. 2015
Sasa leo Agosti 11, 2015 Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ambae ni mtoto wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter ameandika ujumbe wa pole kwa mwenyekiti huyo baada ya kuumwa ghafla.
‘Afya ni Muhimu kuliko jengine lolote. Pole sana Mwenyekiti kwa kuumwa ghafla. Wagombea na wapiga debe tupime afya’ – Ridhiwani Kikwete.

  1. Nafurahi Ona makumbano ni kwenye siasa kiafya tupo pamoja .

  2. pole.sana mwenyekiti harakati ni zile zile wala hatuitaji majungu

  3. mbona mh alishawahi kuanguka jukwaani

  4. wewe tulia unyolewe umesikia

  5. wagombea na wapiga debe na mashabiki wako fit usigope muheshimiwa mafuriko tu yanakuja

  6. heeee Pale aliye kuloga anapo geuka mchumgaji Mh. Mbunge

    1. afya ya mtu is not our issue kwa sasa , tunahitaji sera za kutukwamua hii hali ngumu iliyolelewa na serikali ya awamu ya 4

    2. Kwa kweli serikali ya 4 imetisha maana kila kitu ovyo, gharama za maisha juu. Sijayaona Maisha Bora ht kidogo

  7. kweli kabisa kuangalia afya ni muhimu. Hongera kwa kutukumbusha. one love.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king