Friday, December 12, 2014

WATANZANIA WAFURAHISHWA MH. REGNALD MENGI KUMCHUMBIA JACQUELINE NTUYABALIWE (K LYNN), WASHAURI NDOA IFUNGWE UWANJA WA TAIFA ILI KILA MTU AHUDHURIE KWA HESHIMA YA MZEE HUYO KIPENZI CHA WANYONGE..!


K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe)

Tajiri anayeshika nafasi ya pili hapa Tanzania Mh Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn)





K Lyn (Jacqueline Ntuyabaliwe)

Tukio hilo lilitokea katika siku ya birthday ya Jack ambayo ilifanyika huko Dubai hapo ndi Mh Mengi alipoamua kumvisha pete mchumba wake huyo ambaye mpaka sasa wana watoto wa wawili ambao ni mapacha,Naye Jack alipoulizwa na Mheshimiwa huyo Will you “Marry Me” naye akajibu “I Do”

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king