Friday, December 12, 2014

MUME ALIYEMFUMANIA MKEWE AKIONA CHA MOTO AGEUZIWA KIBAO NA KUSWEKWA NDANI POLISI...!!!

Black-Couple-in-Bed-PFJamaa mmoja alisababisha kizaazaa baada ya kuvamia chumbani ambako mtu na mkewe walikuwa wamelala.
Fununu zinasema jamaa huyo baada ya tukio hilo alimhoji mkewe kwamba huyo aliyeingia bila hodi chumbani kwao wakiwa wamelala ni nani?

Baada ya jamaa huyo, Calvin Murapata kutoridhishwa na majibu ya mke wake Nomagugu Ncube alimpiga na kumchania nguo, ambapo mwanamke huyo alifungua mashtaka kituo cha Polisi, Zimbabwe.
Mwanamke huyo aliwahi kushinda taji la mitindo katika nchi hiyo, amekiri kuwa na uhusiano na jamaa huyo aliyevamia chumbani humo kutokana na mume wake kuwa busy.
Ncube amefungua mashtaka kudai fidia ya nguo alizochaniwa.
Nitakufikishia kila story inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king