Thursday, November 6, 2014

MASKINI YA MUNGU: HIVI NDIVYO MGANGA WA KIENYEJI ALIVYOMBAKA DADA HUYU ALIYEKUA ANAHITAJI MTOTO ALIMWAMBIA ANATKIWA KUINGIZWA DAWA SEHEMU ZAKE NYETI ALIPAKA UUME WAKE DAWA KISHA AKAUINGIZA WOTE...!

Na Raheri Mwaipopo-Maskanibongotz
Jamani jamani jamani mama zetu  dada zetu kuweni makini na waganga wa kienyeji hapa mjini oneni kilichomkuta huyu mwenzenu ameliwa uloda  baada ya kuzidiwa ujanja na mganga huyu.
Mtandao huu hatari kwa habari za uchunguzi umenasa tukio hilo la aibu kwa sangoma huyo aliyefahamika kwa jina la Dr Mkuyati ambapo msichana huyo ambae ni mke wa mtu na ndoa yake iko hatarini kusambaratika kutokana na kukosekana mtoto.
Habari zaidi zilisema kuwa msichana huyo anaeishi maeneo ya Kawe Jijini Dar alifikia uamuzi wa kwenda kwa mtaalam huyo baada ya kusoma kibao chake cha tangazo la Mganga alichokiona barabarani kikisema kuwa anasaidia mtu kupata mtoto hata kama alikuwa tasa.
Baada ya kusoma maandishi hayo dada huyo jina linahidhiwa alijisikia faraja kubwa na kuamini sasa ndoa yake itadumu kwani kila siku nyumbani kwake hapakua na amani kwa mumewe ambae alikuwa anahitaji mtoto.
Basi siku hiyo hiyo alimpigia simu mganga huyo ambae alimthibitishia kabisa kwamba hiyo ni kazi ndogo kwake yeye afike tu ofisini kwake maeneo ya Makongo Juu.
Dada huyoi akiwa amejaafuraha kibao alifunga safari hadi huko kwa mtaalam ambapo moja kwa moja alivyofika huko alipokelewa na kuingizwa kwenye chumba maalum na alipatiwa maji ya kuoga yaliyochanganywa na mayai mabichi, nazi na dawa.
Mganga huyo alimwambia nenda kaoge kwanza na alimfungulia chumba kinachoonekana pichani na kumwambia achukue taulo na avue nguo zake zote kisha akaoge na alifanya hivyo huku akimpa masharti kadhaa.
Chanzo chetu kiliendelea kusimulia menzani kwa maskanibongotz kuwa baada ya mama huyo kumaliza kuoga walianza kazi ambapo mganga huyo alianza kumwambia anatakiwa kuingizwa dawa sehemu zake nyeti na kwa vile kwa mkono haiwezekani kwa vile hizo dawa zinatakiwa ziingie ndani kanisa na hakuna njia nyingine lazima atumie kitu kisichoumiza kuingiza dawa hizo.
Dada huyo ambae kutokana na matatizo aliyokua nayo na shida alifikiri mara kadhaa huku mganga huyo akimkazia macho huku akimwambia ni lazima apake mdudu wake dawa kwenye kichwa kisha amuingize mara moja tu kisha atatoa amradi dawa iingie tu kisha atachomoa.
Dada huyo alimkubalia lakini ilielezwa kabla ya kumuingiza dawa hiyo mganga huyo ambae ni kijana na mjanja sana alimueleza dada huyo kuwa kwa vile kuna ugumu na ili asiumie ina bidi amchezee chezee dakika kadhaa ili kulainisha ambapo alifanya hivyo hali ilimfanya dada kuzidiwa kisga mganga huyo akaingiza mdudu wake na hakutoa tena kama alivyokua amemwambia ataingiza mara kidogo tu na kuchomoa kwani badala yake aling'ang'ania hadi alipomaliza haja yake.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ 

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king