Jakob Steven Jb wa Bongo Movie
Na Mwandishi Maalum-Maskanibongotz
Katika hali isiyokua ya kawaida na kushtua mtandao huu wa maskanibongotz umenasa picha za aibu za wasanii chipukizi wa Bongo Movie wakifanya mapenzi na babu wa kizungu kwa kumpiga mande usiku kucha bila huruma.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini klichofanikisha kuleta picha hizo kilisema kuwa wasanii wanachipukia kwenye kiwanda cha filamu za kibongo na wanapatikana kwenye kundi moja la maigizo lililopo Magomeni Moroco Jijini Dar.
Akiongea kwa sharti la kutotajwa jina lake mtu huyo ambae ni msanii pia alisema kuwa ilikua mwishoni mwa wiki iliyopita wasanii hao walimpata mzungu huyo huko maeneo ya Coco Beach ambae babau huyo mtu mzima alikuwa ametongoza msichana mmoja kati ya hao ambao hutumia majinala Sheila na Shuna huku majina yao halisi yakishindwa kufahamika.
Baada ya mzungu huyo kumtongoza msichana huyo aliingia nae kwenye gari huku rafiki yake nae akiwafuata na walielekea kwenye Hotel moja iliyopo maeneo ya Mikocheni A na lakinui cha kushangaza mara m=baada ya kufika ndani watu wasanii hao waliingia wote chumbani na kuanza kumshughulikia mzee huyo kwa kumpiga mande huku mzee huyo akipiga kelele za kuomba msaada bila mafanikio.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ
0 comments:
Post a Comment