Thursday, October 16, 2014

KUNDI JIPYA LA KUCHEZA UCHI LAIBUKA JIJINI DAR. WANAJIITA TAKO CAMP NI WATOTO WA FAMILIA MOJA UNAAMBIA HAO WAMENYONGOROTA NA SIO KUPINDA TENA. MASKANIBONGOTZ INAKUPA MKANDA MZIMA

Wasichana wanaojiita  wanaounda akundi la TAKO CAMP lililopo Mwananyama Ujiji wakiwa mzigoni
Na Sakina Shabani
Wakati watanzania wengi hakili zao zikielekezwa kwenye mchakato wa kuipigia kura katika iliyopendekezwa hivi karibuni huko Dodoma Bungeni, hali imekuwa tofauti kwa baadhi ya wasichana Jijini Dar ambapo kundi jipya la wasichana wanaocheza nusu ucho limeibuka na kufanya mambo ya aibu hadharani.
Serikali ambayo imewahi kuyapiga marufuku makundi ya uchezaji uchi lakini wakina dada hao wameonekana kupuuza agizo la Serikali la kuwataka wale wote wanahusika na makundi hayo kuachana na tabia hiyo mbovu.
Maskanibongotz mtandao ulikuja kuleta mapinduzi ya habari za uswazi na maisha ya mastaa pamoja viongozi umenasa picha za wasichana hao wakimwaga radhi hadharani bila kuogopa mtu yeyote.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kilisema wasichana hao wanaounda kundi hilo la TAKO CAMP wamekutana familia moja na walichukua uamuzi wa kuanzisha kundi hilo kutokana na ugumu wa maisha ambapo hadi sasa wamekuwa wakipa tenda nyingi za kupiga mzigo.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ.BLOGSPOT.COM

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king