Na Mwandishi Maalum Iringa
Amakweli mke wa m2 sumu hivi ndivyo kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Jakob Sanga mkazi wa Iringa vijijini ameonja joto ya jiwe kwa kuchezea mbata za kufa mtu mara baada ya kufumaniwa na mke wa mtu kisha kulazimishwa kuendelea kufanya tendo hilo mbele ya watu.
Tukio hilo la aibu kwa kijana huyo lilitokea siku ya Jumapili wiki iliyopita huku mwanamke huyo akitajwa kwa jina la Toida ambae ni mke wa jamaa aliyejitambulisha kama Pongezi.
Akielezea ishu ilivyokuwa hadi kupelekea kumnasa mkewe Pongezi alisema" Nilianza kufatilia hili suala muda akidogo mara baada ya kupata tetesi za wasamalia wema kuwa Jakob anakonga kiburudisho chake kwa siri hivyo aliamua kuweka mtego na siku ya tukio aliaga kama anakwenda Mafinga kuchukua bidhaa za dukani lakini kumbe haikuwa hivyo badala yake alirudi na kujificha sehemu.
Hata hivyo muda mchache mkewe alifunga mlango na kuelekea shambani na huko ndiko walikofumwa wakifanya mapenzi.
CREDIT: MASKANIBONGOTZ.
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment