Tuesday, October 21, 2014

KI-COLLEGE YATIKISA DODOMA. WATU WACHANGAMKIA MILIONI 500 ZA NMB. BOSSNGASA ANGOZA JAHAZI VYUO VYOTE...!

Shindano la Kicollege zaidi limetikisha Mkoani Dodoma  kufuati wanafunzi wengi kuchangamkia dili hilo kwa ajili ya kujishindia milioni 500 zitakazo mwagwa vyuoni kote.
Akiongea na vyombo mbalimbali vya habari mkurugenzi wa Kampuni ya Bossngasa Media ambayo inamiliki mtandao namba moja Tanzania wa Bossngasatz, Bossngasa alisema " Ni kweli hii kama bahati kwa wanafunzi wa vyuo hapa Dodoma kwani zaidi ya bilioni 4.5 zitamwagwa hivyo ni natoa uwito kwa wanafunzi vyuo vyote kuchangamkia furusa hiyo ambapo wataendelea kupata maelezo kwenye vipeperushi vyetu vitakavyokuwa vinasambazwa mashuleni kote" Alisema Mkurugenzi huyo

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king