Mganga wa Mastaa nchini na viongozi akiwa na zana zake ofisini kwake
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu
Na Mwandishi Maalum.
Mganga aliyejichukulia umaarufu nchini na Duniani Dokta Kamdege anaetambuliwa na Chama Cha Waganga na Wakunga mwenye kadi namba n NO 0492 Tanzania ametoa umetoa ushauri kwa Jeshi la Polisi Nchini juu ya tabia iliyozuka hivi karibuni ya kutekwa watoto kisha kuuliwa na watu wasiofahamika.
Akiongea kwa njia ya simu toka Tabora mganga huyo alisema kama Serikali inataka kukomesha mauji hayo kwanza iwakamate waganga wa jadi wote wasiokuwa na vibali vya kufanyia kazi kwani hao kuna uwezekana wakawa wanahusika kwa namna moja ama nyingine.
Mganga huyo ambae hivi karibun alikuwa nchini Ujerumani baada ya kuitwa na wananchi wa huko kwa ajili ya kuwatibu magonjwa yao kupitia miti shamba aliongeza kusema" Nina imani kubwa kama hawa waganga uchwara wanahusika na mauaji ya watoto hao wasiokuwa na hatia kama ilivyokuwa kwa mauaji ya Albino mara nyingi waganga wanahusika kwa kuwadanganya watu kuhusu kupata utajili ama uongozi" Alisema kwa uchungu
Mganga huyo aliongeza kusema kukaa kimya kwa Serikali na kuwaangalia waganga hawa ni tatizo kwani sasa hivi kila mtaa ukipita utakuta mabango yasiyopungua kumi ya waganga ambao wote hao ni makanjanja na ndio wanaohusika kuwarubuni watu kuhusu kuua watu.
Dokta Kamdege alimaliza kusema kuwa uganga sio kuua mtu huo ni uongo na wananchi wote wasikubali kutumika kufanya dhambi hiyo kubwa kama mtu unataka uongozi, ama utajiri, au unasumbuka na maradhi sugu kama ganzi, kuongeza nguvu za kiume na kuweka dawa nyumba ili wachawi wasisumbue mambo yote hayo yanafanywa kwa miti shamba kama anayoitoa yeye si vinginevyo.
Mganga huyo alisema kuwa kwa wale wote wanaotaka kutatuliwa shida zao wamtafute kupitia namba 0763-146231 na wataongea nae moja kwa moja hata kama wakiwa Ulaya watapatiwa tiba zake wakiwa huko huko.
0 comments:
Post a Comment