Friday, May 9, 2014

DIAMOND KUTUMBWIZA KOMBE LA DUNIA, WIMBO WA NUMBER 1 WATUA NCHINI HUMO NA UNAPIGWA KILA RADIO ANGLIA HAPA TAARIFA HII..!





 Na Mwandishi Wetu


 Yule mganga maarufu wa mastaa bongo na vigogo wa Serikali Dokta Kamdege baada ya kusema kuwa alimtabilia mwanamuziki Diamond kupata tuzo 7 sasa ameibuka na mpya na kusema mwanamuziki huyo ataalikwa kwenda huko.
Akiongea na blog hii mganga huyo alisema" Moja ya mambo ambayo watu huwa wanayapuuzia ni haya ambapo Diamond atakuwa kati ya wanamuziki wa bara la afrika watakaochaguliwa kwenda kushiriki ufunguzi wa kombe hilo la Dunia ni Diamond" Alisema
Hata hivyo mganga huyo ambae amejizolea umaarufu mkubwa nchini na nje ya nchi kwa tiba zake za miti shamba na kuwasaidia watu wengi kuwa na maisha bora baada ya kuwafanikishia mambo yao na amekuwa msaada mkubwa kwa watu maarufu.
Mganga huyo aliongeza kusema kuwa " Huwa sipendi kutoa utabiri bali huwa nafanya kweli awali nilimueleza Diamond kama atapata tuzo 7 na kweli amezipata na huko Brazil pia nimemueleza hivyo na hatimae ataenda tu" Alisema mganga huyo kwa kujiamini
Hata hivyo hali imewashtua wengi baada ya kutokana na wimbo wa Diamond Nomber 1 tayari kutua nchini humo na unapigwa kama ugomvi kwenye vituo vya radio zote.
Mganga huyo alimaliza kusema anaendelea na huduama yake ya kuwasaidia watanzania wenzake popote walipo kwa kuwafanyia mambo yao kwa kutumia miti shamba ambapo tayari maelfu ya watu wamebadilisha maisha yao kupitia yeye hivyo namba yake ya simu ni 0788-844490 na ataongea nae moja kwa moja na wale walio nje ya nchi atawasaidia kupitia simu yake.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king