Wednesday, July 20, 2016

KAZI YA KUPAMBANA NA MACHANGU/MASHOGA: RC MAKONDA APIGWA CHANGA LA MACHO, YANAYOFANYIKA KWENYE VITUO VYA MASSAGE DAR AIBU, MACHANGUDOA WAENDELEA KULA VICHWA KAMA KAWA...!

Kufuatia kauri na msimamo wa mkuu wa Mkoa wa Dar Mheshimiwa Paul Makonda kutangaza kiama kwa machanguoa na mashoga, sasa wakina dada hao wamebuni nyingine ya kujiingiza kwenye vituo vya massage ambako huko wameendelea kula vichwa kama kawaida, Lakini uvaaji kama huu pichani umekuwa chanzo cha ngono kwa sababu huchochea hisia za kwa wanaume.
Unapoiingia sehemu ya Massage unakutana na wakina dada kibao unakaribishwa kuchagua mtu wa kukupa huduma.

Moja ya kituo cha Massage Jijini Dar
Na Mwandishi wa Maskanibongotz
Mkuu wetu wa mkoa anakazi ngumu na kubwa ya kutekeleza  agizo lake ambalo linapaswa kusimamia na Jeshi la Polisi kutokana na machangudoa hao kubuni mbinu mbadala ya kukwepa mkono wa dola.
Maskanibongotz umefanya uchunguzi na kubaini kuwa huko kwenye vituo vya massage baadhi vinafanya biashara ya ukahaba kabisa kwani kilichofanyika ni kusajir kazi ya massage lakini ndani yake hakufanyiki massage peke yake bali ni ufusika wa kufa mtu.
Vituo vingi vilivyopo hasa Kinondoni, Sinza, Mikocheni vimejaa balaa, Msasani, Kinondoni Hananasif ndani yake kuna wasichana warembo ambapo kila mteja akiingia hupewa nafasi ya kuchagua msichana anaempenda ili akamfanyie massage lakini na ngono pia.

Bei ya massage hizi za kawaida ni tsh 30,000/ na Ngono huwa ni makubaliano kutokana na aina ya ngono unayoiihitaji mteja na kuna aina nyingi ya ngono wanazozifanya wanawake hao, moja kuna kuna ngono ya mwanaume kuchezewa uume bila kufanya mapenzi hadi anamaliza haja yake, mbili mwanaume kunyonywa uume wake hadi anamaliza haja yake na mwisho kufanya mapenzi kabisa hizo aina zote zina bei tofauti.
Na wanaume wengi imegundulika hupenda kwenda huko kwa vile ni sehemu salama, wananchi wengi wamemuomba mkuu wa mkoa kuangalia upya uhalali wa kuwepo vituo hivyo kwa vile vingi vimekuwa madanguro ya kufa mtu.
Source: Maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king