Wednesday, January 20, 2016

DUNIANI KUNA MAMBA: JAMAA AGOMA KUVAA SUTI KWENYE HARUSI YAKE BADALA YAKE AVAA JEZI YA TIMU YAKE YA ARSENAL, PICHA HIZI HAPA...!


Watu na mapenzi na timu zao mtu wangu, hii inaweza ikakushangaza kidogo kwa sababu najua tumezoea kuona watu wanapofunga ndoa wanavaa suti na tai, lakini shabiki mmoja wa Arsenal ameamua tofauti kidogo katika harusi yake kitu ambacho kimewashangaza wengi kwani ni kigeni sana kutokea katika sherehe za harusi.
JamaA kaingia kwenye headlines baada ya kufunga ndoa akiwa na jezi ya Arsenal badala ya suti kisa ni mapenzi yake kwa Arsenal.
CZBCg8-WwAMIPGE
Credit:maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king