Wednesday, November 18, 2015

MASIKINI YA MUNGU WEE: MBABA ALIYEOTA MAZIWA KAMA MWANAMKE KWA KUKOSEA MATUMIZI YA VIDONGE VYA ARV, MAZIWA YAKE YAZIDI KUWA MAKUBWA HADI AAMUA KUVAA SIDIRIA , ASEMA KUNA WAKATI WANAUME HUMTONGOZA HUDHANI NI MWANAMKE.

 Mgonjwa aliyeota maziwa kama mwanamke na sasa anayavalia sidiria ili aweze kufanya majukumu yake vizuri
Dokta Fadhili mtaalamu wa magonjwa yote sugu

Katika hali ya kushtua yule mbaba ambae miaka mitatu iliyopita aliripotiwa na vyombo vya habari vya kimataifa kwa kuota maziwa baada ya kukosea masharti ya kumeza vidonge vya ARV baada ya kuwa mgonjwa wa gonjwa hili noma Duniani, sasa hali imezidi kuwa mbaya ambapo maziwa hayo kama yanavyoonekana sasa yamezidi kuwa makubwa kiasi cha kuamua kuyavalia sidiria ili kuyapunguza yasining'inie  na kucheza cheza.
Hata hivyo maskanibongotz ilizungumza na Fadhili toka  Dokta bingwa wa magonjwa yote alifafanua kwa nini mtu huyo toka nchi ya Jirani Malawi amekuwa hivi" Kaka ndiyo maana kumekuwa na madaktari na watu wanashauri kabla ya kuanza kutumia vidonge hivyo ni lazima mtu apatae vipimo na ushauri wa kitaalam hapo hawezi kupata madhara kama yaliyomkuta mwananchi huyu" Alisema
Hata hivyo Dokta huyo aliongeza kileza maskanibongotz kuwa mara nyingi mtu akianza kutumia dawa hizo bila vipimo, au ushauri lazima apate madhara eidha ya kuota mihipsi kama ni mwanaume au kuota maziwa na yatakuwa makubwa balaa, huku kwa upande wa wanawake nao wana mdhara yao pia. Alisema Dokta Fadhili bingwa wa majongwa sugu ya wanawake na wanaume.
Credit:maskanibongozt

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king