Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni DC Makonda ambae tangu ateuliwe na Mh Rais
Mstaafu JK amekuwa mfano wa kuigwa kwa wakuu wengi wa Wilaya hapa nchini
kutokana na utendaji wa kazi mzuri anaoufanya wa kutatua Migogogro ya
Ardhi pamoja na kero za vijana kuhusu Ajira na maendeleo makubwa. visit
maskanibongotz
Wananchi
mbali mbali wakimtazama Baunsa, Amiri Abdallah(47), maarufu kwa jina la
Chura Mchimba Makaburi ya Kinondoni, aliyejeruhiwa Dar es Salaam,
akidaiwa kubomoa nyumba Wazo Hill Madale, akiwa na wenzake 26. mwaka
juzi ambapo baunsa huyu ambae kwa sasa ni marehemu. Mgogoro huo wa Ardhi
ulisababishwa na utendaji mbovu wa viongozi wa Manispaa ya Kinondoni
huku ukihisiwa kuwa na harufu ya Rushwa. Huku wananachi hao wana uhakika kama Makonda angekuwepo ndugu za wasingekuuawa.Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr John Pombe Magufuli ambae wakazi wa Jiji la Dar wengi wamemuomba kumpandisha cheo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Paul Makonda na kuwa Mkuu wa Mkoa kijana ambae ataendana na sirogani yake ya hapa Kazi kwa vile ni mchapakazi mzuri.
Wakiongea na mtandao huu wa maskanibongotz wakazi hao toka maeneo mbaimbali walisema kuwa Makonda kwa kipindi kifupi amefanya makubwa sana kwenye maendeleo hasa kwenye Wilaya yake ya Kinondoni ambapo hadi sasa migogoro ya Ardhi ipo ukingoni kumalizika kumalizika hali iliyopelekea hata wilaya zingine za Jijini Dar kumtaka kuongoza Wilaya hizo
Makonda hivi karibuni alikuwa kwenye Kata ya Wazo maeneo ya Nakasangwe na Nakarekwa ambako kulikuwa na mgogoro wa miaka mingi na kufanikiwa kutuliza hali ya amani kiasi cha kuwafanya wakazi hao kuhisi kama nao ni watanzania kwani kabl yake hali ilikuwa mbayo ambapo ilidaiwa Mkuu wa Wailaya aliyemtangulia alikuwa anawaburuza wakazi hao kwa kutumiwa na wawekezaji na kutaka kuwahamisha wakazi hao wapatao 2700 ambao wengi wao ni wanachama wa CCM.
Hata hivyo Paul Makonda kwa kauri yake baada ya kusikiliza pande zote mbili za hao wawekezaji na wananchi aligundua kuwa kuna harufu kubwa ya rushwa iliyokuwepo, na wakazi hao walimweleza wazi wazi mkuu huyo kuwa ndani ya ofisi yake kuna watu ambao bado wanashirikiana na wawekezaji hao kuwakandamiza licha ya Mkuu wa Wilaya aliyeondoka
Jordan Rugimbana kumtuhumu ndiye alikuwe kinara wa kuwakandamiza wao.
Wakazi wote hao wamemuomba Mh Magufuli kutomuhamisha Paul Makonda Wilaya badala yake amuongezee cheo na kuwa mkuu wa Mkoa kwa vile Mkuu wa Mkoa aliyepo sasa kiumri anatakiwa kupumnzika.
Credit:maskanibongotz
0 comments:
Post a Comment