Tuesday, October 13, 2015

MKUTANO WA LOWASA MWANZA: MSALABA MWEKUNDU WATHIBITISHA KAMA LOWASA SIO MTU WA KAWAIDA WASEMA WAMEHUDHURIA MIKUTANO MINGI YA SIASA LAKINI YA LOWASA KIBOKO. ANGALIA PICHA LIVE TOKA MWANZA..!


OTH_9729OTH_9823
Siku 11 zimebaki kuifikia October 25 2015, ambapo Tanzania itakuwa kwenye tukio jingine kubwa na la kihistoria, Watanzania Milioni 22.7 waliothibitishwa na Tume ya Uchaguzi NEC, watapiga Kura kuchagua Viongozi katika ngazi ya Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Kwa sasa bado mchakamchaka wa Kampeni kwenye Majukwaa ya Siasa bado unaendelea, jana October 12 2015 Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ambaye anawakilisha umoja wa wa Vyama vya UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa alitua kwa mara nyingine kwenye Viwanja vya Furahisha, ndani ya Mwanza kwa ajili ya kuendelea na Kampeni zake.
CRIdqzEWgAAnrjB
6
.
OTH_0562
Mzee Kingunge Ngombale Mwiru
OTH_0667
OTH_0892
OTH_0900
OTH_0764
Kutokana na wingi wa watu, wengine walizidiwa wakawa wanapoteza fahamu.
OTH_9751

 CRIeJ-qWoAAJVAq CRIfHSWWsAA0F2B CRIOWX0WoAAVkyd
Credit:Maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king