Wakati Jeshi la Polisi kushirikiana na mamlaka ya Mwasiliano Tanzania TCRA wakiendelea kuwaadabisha wale wote wanaotumia vibaya mitandao pamoja na uharifu kutumia mitandao, Wanafunzi wa Chuo Kimoja "Jina Linahifadhiwa" Mkoani Dodoma wamefyatua picha za utupu na kuzirushwa kwenye mitandao ambapo katika picha hizo ilionekana walikuwa wanafanya mazoezi ya kucheza kama wanavyoonekana lakini sura zao hazionekana kwa kuhofia kutambulika.
Chanzo chetu makini kilisema kuwa wanafunzi hao walikuwa wanafanya mazoezi ya kucheza tu bila kufahamika kama labda wanakwenda kushindana wapi au na chuo gani, Huku pembeni yao alionekana mwanamume mmoja ambae ni mwanamitindo akiwaelekeza namna ya kucheza kwenda na biti. Maskanibongtz bado inaendelea na uchunguzi wa kina ili kubaini ni wanafunzi wa chuo kipi kisha tutawaletea sehemu ya pili ya habari hii kwa uhakika zaidi
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment