Mgombea ubunge kupitia chama cha Mapinduzi, Idd Azan (katikati).
Ziara za wagombea nafasi za Ubunge
kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania bado inazidi kuchukua kasi,upande wa
Chama Cha Mapinduzi na mgombea wa ubunge Idd Azan Sept 13 alikuwa
akizungumza na wapiga kura jimbo la Kinondoni Dar es Salaam.
Hapa nimekuwekea picha 13 za mgombea Iddi Azan akizungumza na wananchi
.
.
.
.
Picha:Wananchi waliojitokeza kusikiliza sera za mgombea ubunge Iddi Azan jimbo la Kinondoni.
Msanii wa Bongo Fleva akitoa burudani ya nguvu.
Msanii wa Bogo Fleva Tunda Man akitoa burudani kwa wananchi waliojitokeza kwenye ziara hiyo.
.
.
Mgombea ubunge kupitia CCM, Iddi Izan akizungumza na wananchi
Msanii wa Bongo Fleva, Tunda Man akitoa burudani kwa wananchi waliojitokeza.
0 comments:
Post a Comment