Sunday, September 13, 2015

KIMENUKA: FILAMU YA GOING BONGO PARTY 2 KUWASHUSHA MASTAA HAWA WA DUNIA NCHINI TANZANIA, ERNEST ATUA NA NEEMA KIBAO KWA UNDERGROUND WA BONGO MOVIE..!


 Ernest Napoleon ambae ni staa wa filamu ya Going Bongo Part one ambae kwa sasa amerejea nchini Tanzania baada ya kuwa nje ya tz kwa ajiri ya uzinduzi wa filamu yake hiyo ya Going Bongo nchini Uingereza. Hii mara ya pili sasa kwa filamu hiyo kuzinduliwa..!
  Ernest Napoleon akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kupata tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki na Kati huko Zanzibar
                         

  Mmoja wa mastaa watakaokuwepo Tanzania hivi karibuni kwenye usahir wa kuwatafuta wasanii wachanga watakaoweza kuigiza filamu ya Going Bongo Party Two.

  Ernest Napoleon akiwa na Staa wa filamu ya Wake Up Manaiki Sanga  mara baada ya kikao kifupi hivi karibuni.

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king