Na Mwandishi Wetu
Mkuregenzi wa kampuni ya Bossngasa Media Ltd ya Mkoani Dodoma ametahadharishwa na mashabiki wake huku akihofiwa kukumbwa na ugonjwa mbaya duniani.
Wakiongea na Maskanibongotz mashabiki hao walisema mkurugenzi huyo ambae ni kipenzi cha watu wengi nchini kutokana na mtandao wake wa bossngasa kuwa na wasomaji wengi huku kukiwa na taarifa akiwa mbioni kufungua radio mpya, walisema kuwa wamekuwa na mashaka kutokana na kunenepa sana.
Wakiongea siku ya Ijumaa ndani ya kiota cha burudani Dodoma cha Matheo Lounge walisema" Hakika Ngasa sasa anatishia amani kwa kweli angalieni tumbo lake karibia linamfikia marehemu Komba na hiyo ni hatari kwa magonjwa ya moyo na kisukari" Walisema na kuongeza bado wanampenda mkurugenzi huyo hivyo ni vyema akachunga mwili wake.
Bossngasa ambae siku za hivi karibuni ameongezeka uzito hadi kufikia kilo 125.
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment