Manny alifanya uamuzi huo baada ya
kuridhishwa na nyumba hiyo yenye ukubwa wa futi 10,000 kwa kitita cha
dola milioni 12.5 likiwa na kila kitu ndani yake.
Uamuzi huo umekuja ikiwa ni siku chache
zimebakia kabla bondia huyo kupanda jukwaani katika pambano lake dhidi
ya mpinzani wake Mayweather litakalofanyika May 2 Los Angeles, Marekani
ambapo familia yake kutoka Ufilipino itafikia hapo.
0 comments:
Post a Comment