Miss Temeke Irene Kanka na Manaiki Sanga wakionekana wakifurahia penzi lao
...akiwa kwenye picha za mitego na picha hizi zilidaiwa kupigwa kipindi kifupi baada ya kutoka kufanya mapenzi na Manaiki Sanga ambae kwa sasa anatamba na filamu yake ya Wake Up
Aliyekuwa Miss Temeke namba 3 Irene Kanka 2010 amemtuhumuwa msanii Manaiki Sanga kuwa alimloga hadi kupelekea kumnpa penzi kwani kwa hali ya kawaida asingeweza kutembea na Manaiki kwa tabia aliyokuwa nayo ya kuwaharibu wanawake " Kaka mimi nasema ukweli kwamba yule mwanaume ni mchawi sio bure mimi nililogwa kiasi cha kuchanganyikiwa na penzi lake kwani ingekuwa kwa sasa nisingekubari kufanya hivyo" Alisema mrembo huyo ambae tangu kuvuja kwa picha za uchi yeye na Manaiki amekumbwa na maswahibu mengi pamoja na kuachwa na mchumbaake aliyekuwa amemvisha pete.
Aidha mrembo huyo aliongeza kusema alimpenda Manaiki Sana kiasi cha kumuachia amfanye kila kitu alichohitaji kiasi cha kudiliki kufanyanae mapenzi kinyume na maumbile lakini hiyo yote anaamini haikuwa akili yake bali ni uchawi
0 comments:
Post a Comment