Na Mwandishi Wetu-MPWAPWA DODOMA
Aliyesema kuwa asali haiojwi mara moja hakukosea hata kidogo na msemo huo ulimaanisha mambo mengi ikiwemo suala la kufanya mapenzi kwa mtu ambae hajawahi kufanya mapenzi na siku akijaribu tu na akaona raha yake hakika hawezi kuacha kamwe.
Ndiyo ishu iliyowakuta wasichana hawa wadogo wanaokadiliwa kuwa na umri wa miaka 13-14 ambao wanasoma sekondar moja huko Dodoma Wilaya ya Mpwapwa na walinaswa wakizitwanga kavu kavu na kuumizana vibaya wakimgombea mwanaume ambae anasoma kidato cha nne kwenye shule hiyo jina linahifadhiwa.
Credit: Maskanibongotz
Browse » Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment