Kijana ambaye ni mwanafunzi wa Udom anayefahamika kwa jina la Iddy aliyepata masaibu baada ya kuvunjika mguu katika vurugu za mgomo uliyofanywa na wanafunzi wa Udom wa college ya social science.. Kijana Iddy ambaye amelazwa katika hospitala ya General Dodoma leo hii amepatiwa msaada Mh Shabiby wa fedha za
matibabu pamoja na while chair baada ya kuzuiliwa kutoka hospitali hapo nkutokana na deni kubwa la matibabu aliyokuwa anadaiwa hospitalini hapo.. Paparazi wa blog ya Boss Ngasa alifanikiwa kupata nafasi ya kuongea na mzazi wa mwanafunzi huyo na kudai kuwa aliambiwa atapata msaada kutoka chuoni hapo lakini cha kushangza mpk muda huu wa jioni hatujapa msaada wowote kutoka chuo hicho zaidi ya kupigwa chenga na kutupiana mpira.. Baba wa kijana huyo ametoa shukrani za pekee kwa Mh Shabiby baada ya kuguswa kiubinadamu na kumsaidia kijana wake... Kijana Iddy kwa sasa anaendelea vizuri
Hata hivyo maelfu ya wanafunzi mbalimbali nchini wamelilia Dr Wilbrod Slaa na kutamka kuwa ndiye chaguo pelee kwa watanzania na mkombozi wa wanyonge mwezi Oktaba hawatofanya makosa
0 comments:
Post a Comment