Sunday, November 2, 2014

TOBAYARABI!, SHILOLE AMBAKA DOGO ASLAY MTITI MZITO WAIBUKA USIKU WA MANANE, ASLAY AELEZA KILICHOTOKEA MASKANIBONGOTZ INAKUPA HII YA MOTO...!



Na Zaitun Mohamed
Mtandao wa maskanibongtz ambao kila siku unakupa habari moto moto zilizofanyiwa uchunguzi wa kina safari hii imeibua kaishu flani ambako kama mpenzi msomaji wetu ulikuwa hujui sasa fatilia hapa kaishi hako kana wahusu wanamuziki wawili kati ya Shilole ambae ni mtu mzima na dogo Aslay.
Wanamuziki hao wamedaiwa wako kwenye malavidavi mazito kiasi cha kuacha watu midomo wazi huku wengi wakitoa yao ya moyoni kwa kusema Shilole kutembea na Dogo Aslay ni sawa kama anambaka.
Habari za uhakika toka kwa chanzo chetu cha uhakika zilisema kuwa Shilole ambae kiumri ni mzee na kwa umri wa Dogo Aslay ni sawa na mwanae tena huenda hata mwanae mkubwa.
Akiongea kwa shart la kutotajwa jina lake mmoja wa  watu wa karibu walisema kuwa Shilole alianza kumuingia Dogo Aslay kwa gia ya kumpongeza kwa kazi zake nzuri anazozifanya na kumuomba kufanya nae feature kwenye nyimbo zake kumbe haikuwa hivyo.
Hata baada ya kufanikiwa kumnasa Dodo Aslay hivi karibuni Shilole ameleteana mtiti mzito na msichana ambae ni mpenzi wa Aslay aitwae Lily kufanyia fujo usiku wa manane.
Baada ya tuhuma hizo Maskanibongotz ilifanya jitihada za kuwatafuta wawili hao kwa ajili ya kujibu tuhuma hizo ambapo Shilole alikuwa wa kwanza kupigiwa simu ambapo kwa bahati mbaya simu yake iliita bila kupokelewa, Huku Dogo Aslay akipokea na kueleza haya" Mimi Shiloe ni kama rafiki yangu sio mpenzi wangu kwani siwezi kutembea nae yule ni sawa na Bibi yangu au mama mkubwa siwezi dadaangu" Alijibu Aslay
CREDIT: MASKANIBONGOTZ

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king