Thursday, November 20, 2014

MREMBO ALIYEKUWA NA MAREHEMU LEONARD MTENSA WAKIFANYA NGONO AELEZA JINSI ALIVYOMSIHI MAREHEMU...!

Na Mwandishi wa Maskanibongo - Bukoba
Msichana anaeshikiriwa na Polisi kituo kikuu cha Polis Bukoba Jackline Hassani 25 ambae amekubwa na balaa kubwa la kufiwa na mume wa mtu ambae ni mfanyabishara maarufu Mkoani humo imedaiwa ameelezea namana marehemu Leonard Mtensa kuwa aling'ang'ania sana staili ya mbuzi kagoma na ndiyo iliyopelekea umauti wake.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichokuwepo eneo la tukio muda mfupi baada ya kifo cha marehemu msichana huyo alisikika akisema na rafiki zake mwanaume kuwa marehemu siku hiyo aling'ang'ania sana kumfanya mapenzi style ya mbuzi kagoma licha msichana huyo kumsihi sana kubadili staili hiyo lakini marehemu hakusikia na badala yake aliendelea kufanya staili hiyo zaidi ya dakika 40 zote bila kupumnzika ndipo umauti ulipomfikia.
Credit: Maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king