Thursday, November 13, 2014

HII NI ZAIDI YA LAANA: MWANAMKE JIJINI DAR ATANGAZA TENDA YA KUWATAKA WANAUME WOTE WENYE UUME USIOPUNGUA NCHI 8.5 NI MNIGERIA MUUZA MITUMBA ANAISHI MIKOCHENI ANGALIA TAARIFA HII..!

Na Bony Mwaipopo - Maskanibongotz
Wakati Serikali yetu na mataifa mbalimbali Duniani yakiendelea kupambana maradhi ya Ukimwi pamoja Ebola Jijini Mwanamake mmoja ambae inadaiwa toka nchini Nigeria ametangaza dau kubwa kwa wanauume wote wenye uume mkubwa usiopungua nchi 8.5 wenye unene wa kutosha wamuonea haraka awape maisha.
Kwa mujibu wa chanzo chetu kilicholeta picha hiyo kilisema kuwa mwanamke huyo ambae ni mfanyabishara wa jumla ambae amekuwa akipatikana kwenye Hotel zenye hadhi alikuwa amerusha picha hiyo kupitia mitandao ya kijamii akielezea hitaji lake hilo bila kufafanua anawahitaji wa kazi gani ispokuwa alisema hata kama wakipatikana hamsini au zaidi wamcheki.
Hali hiyo imetia shaka sana kutokana na hali ya maisha ya mtanzania wa sasa kwani vijana wengi wapo kurithiki maisha kwa lolote hivyo dada huyo ni heri akathibitiwa mapema kabla hajawatimiza malengo yake na watu wanaomfahamu mwanamke huyo wameiambia maskanibongotz kuwa anapenda kutembelea maeneo ya Coco Beach na sehemu za ufukweli huko na anaitwa Okile Yakubu
Credit: Maskanibongotz

0 comments:

Post a Comment

.

 

Copyright © MASKANI BONGO Design by Livingstone Mkoi | Blogger Theme by BTDesigner | Powered by seleman king